frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Ilishaletwa hapa jukwaani ni vyema ukawa una peruzi kabla ya kupost kwanza
Ni tofauti ile ina mistari kishuka chini hii ina vi boxIlishaletwa hapa jukwaani ni vyema ukawa una peruzi kabla ya kupost kwanza
Kwa sababu Simba hawafugi vibwengoMbon haina majengo kama ya Yanga?
Vigagulo fc
Hii pia ishaletwa wakaambiwa wamekopi kwa asenoNi tofauti ile ina mistari kishuka chini hii ina vi box
copy and paste kutoka kwa ARSENAL