Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ewe mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, mwenye majina tisini na Tisa, ulisema niombeni nitawapa, sisi tunakuomba utujaalie ushindi leo uwanja wa Taifa dhidi rangi ya mitume.
Sisi sio wale waliokukufuru na kudiriki kusema kuwa wana uwezo wa kucheza na shetani au malaika, sisi ni waja wako wacha mungu ambao tunaamini bila wewe ushindi haupatikani.
Ewę mwenyezi mungu, wa kuleta furaha leo ni wewe tu na wala sio mwingine, sisi tumezuiwa kwenda uwanjani lkn uongozi wetu umetuandalia sehemu ya kukutana na kuiangalia gemu hiyo.
Inshalllah leo tutashinda