Simba tusilaumiane kuhusu Maguri

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
5,550
Reaction score
5,379
Kwa wale wanaingia viwanjani, waliokua wanaona jinsi Maguri alikua akiikosesha mabao Simba, na sote tulikua tukimlaumu.

Sidhani Ni kosa klabu kumwacha nchezaji ambae hafanyi vizuri, alafu maguri huwezi mfananisha na Tambwe, Tambwe aliondolea figisu figisu Tu.

ILA Maguri tulikua tunamlaumu Sana kiwanjani.
 
Wakalaumiwa ni viongozi kwa kukosa uvumilivu na ujuaji mwingi ambao hauna faida kwa timu. Mpaka sasa sioni sababu ya kuachwa tambwe, maguli na hata ivo mapunda. Kukosa mabao kwa washambuliaji ni kitu cha kawaida inatokea kwa muda fulani kwa hiyo maguri angepigwa benchi kwa muda pale simba mpaka arudishe kiwango na kujenga kujiamini. Hii iliwahi kumtokea suarez alipojiunga barca alikaa muda mrefu bila kufunga. Leo hii mchezaji muhimu kama kessi mkataba bado miezi 6 ndio wanaanza mazungumzo ya kuongeza mkataba. Na bado hawajapata fundisho kwa ndaw wameshaleta mkameruni. Sijui nani anafaidika na hizi dili za usajili pale simba au ni hujuma ndani ya viongozi wenyewe?
 
nasikia Majwega naye ndani ya simba
 
kwa hiyo tunaweza kusema alikuwa haipendi simba!!!!
 
Soka la yanga na simba haitafika mbali kama tutakuwa tunabadilishana wachezaji,inatakiwa tuwe tunasajili wachezaji toka timu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…