Simba tusipobadilika ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali na huyu kocha aambiwe

mahaha

Member
Joined
Mar 23, 2022
Posts
8
Reaction score
7
SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao.

Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae Banda au Dilunga Upande wa Kapombe acheze mtu atakayemsaidia Kapombe kila anapopanda. BEKI ONYANGO amezeeka hawezi zile za one to one kwa hiyo LWANGA na KANOUTE WATAWALINDA MABEKI WA SIMBA. MORRISON acheze kama sub kama kawaida. KULE MBELE ACHEZE MUGALU SAKHO.

PIA Sakho aambiwe asiche na jukwaa sana the same na morrison. Banda akiaminiwa na dilunga timu ni nzuri ila mwisho wa MSIMU hawa wa kuachana nao

1. Onyango
2. Wawa ( Beki Bangala kama tunaweza kumnunua)
3. Nyoni (Replacement Beki Kenedy acheze namba ya onyango)
4. Kagere (Adebayor wa USG)
5. Mugalu replacement PHIRI
6. Bocco ( Ki AZIZI wa Asec) au MPOLE

Lakini pia Simba wajitume wacheze kitimu

KOCHA WAPATE mwingine mwenye style ya Kishingoooo. Kishingo aliiwezesha Simba kujilinda vizuri ikiwa away

SIMBA YA MSIMU UJAO
MANULA

ITSHABALALA INONGA BANGALA/KENEDY ISRAEL / KAPOMBE SUB

LWANGA KANOUTE

SAKHO/MORRISON CHAMA BANDA

PHIRI / KI AZIZI / MPOLE

Nawakilisha
 
WaTz mjifunze kuwa specific na focus. Sasa wewe unakuwa mshauri wa kocha,mara unaongelea kuvuka robo mara ghafla umerukia usajili msimu ujao.

Wachezaji hata hujawasajili umeshawapanga kwenye kikosi

Unatuchanganya
Kibudenge na Mayele nani mkali?
 
SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao.

Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae Banda au Dilunga Upande wa Kapombe acheze mtu atakayemsaidia Kapombe kila anapopanda. BEKI ONYANGO amezeeka hawezi zile za one to one kwa hiyo LWANGA na KANOUTE WATAWALINDA MABEKI WA SIMBA. MORRISON acheze kama sub kama kawaida. KULE MBELE ACHEZE MUGALU SAKHO.

PIA Sakho aambiwe asiche na jukwaa sana the same na morrison. Banda akiaminiwa na dilunga timu ni nzuri ila mwisho wa MSIMU hawa wa kuachana nao

1. Onyango
2. Wawa ( Beki Bangala kama tunaweza kumnunua)
3. Nyoni (Replacement Beki Kenedy acheze namba ya onyango)
4. Kagere (Adebayor wa USG)
5. Mugalu replacement PHIRI
6. Bocco ( Ki AZIZI wa Asec) au MPOLE

Lakini pia Simba wajitume wacheze kitimu

KOCHA WAPATE mwingine mwenye style ya Kishingoooo. Kishingo aliiwezesha Simba kujilinda vizuri ikiwa away

SIMBA YA MSIMU UJAO
MANULA

ITSHABALALA INONGA BANGALA/KENEDY ISRAEL / KAPOMBE SUB

LWANGA KANOUTE

SAKHO/MORRISON CHAMA BANDA

PHIRI / KI AZIZI / MPOLE

Nawakilisha
Watanzania kwa unafiki hamjambo. Si ninyi mliokuwa mkimshambulia kishingo eti anapaki basi, mara ooh hajui pira biriani. Sasa mmeanza kumuwangia na Pablo. Aisee kuwa kocha TZ kazi kwelikweli. Na kwa taarifa yako Kishingo aliamua kuwawahi kabla hamjamfukuzisha ili kulinda heshima aliyoipata baada ya kuisaidia timu kufuzu.
Jifunzeni kuwa wavumilivu, kwenye mpira kuna kupanda na kushuka. Labda la kukuunga mkono ni hilo la kubadilisha baadhi ya wachezaji hasa forwards.
 
Mechi za away za kishingo unazikumbuka lakini. Maana timu iliingia tu makundi akaondoka. Zile mechi 6 za makundi hakuzicheza
 
Si tulikubaliana kwamba Onyango, Wawa na Kagere ni ma teenagers? Inakuwaje tunazikimbia kauli zetu?

Back
Top Bottom