Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni ndoto. Huko champions league ndio kabisa tutaishia kwenye makundi.