Simba tusipofanya Usajili dirisha dogo tusahau Ubingwa

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni ndoto. Huko champions league ndio kabisa tutaishia kwenye makundi.
 
Mechi ya Simba na Yanga sio kipimo cha kujua ubora wa team bro

Kwahiyo hilo pengo la kina chama na luis umeliona kwa mechi moja tu ndo utoe tathmini ya msimu mzima toa ujinga hapa

Kwanza hama simba
 
Hata kama pengo la chama na miquisoni lipo ila tatizo lilipo sasa ni striker simba walitengeneza nafasi nyingi walishindwa kuzitumia hata mechi ya tp mazembe ilikuwa hvyo hvyo clear chances tatu zote mugalu kapoteza.
 
Wabongo tunamatatizo sana
 
SAWA KABISA TATIZO MUGALU NDIO CHAGUO NAMBA 1KWA GOMES LAKINI ILE GAME KAMA ANGEMUANZISHA BOKO PENGINE TUSINGEPOTEZA MUGALU ANAWEZA KUPATA NAFASI TANO AKAPOTEZA ZOTE
Hata kama pengo la chama na miquisoni lipo ila tatizo lilipo sasa ni striker simba walitengeneza nafasi nyingi walishindwa kuzitumia hata mechi ya tp mazembe ilikuwa hvyo hvyo clear chances tatu zote mugalu kapoteza.
 
Wanasajil mayai wa Afrika magharib unategemea nn!?
 
Sasa msajili nini tena wakati nafasi za kusajili 12 zimejaa? au labda wakuwatumia kimataifa
 
Mechi ya Simba na Yanga sio kipimo cha kujua ubora wa team bro

Kwahiyo hilo pengo la kina chama na luis umeliona kwa mechi moja tu ndo utoe tathmini ya msimu mzima toa ujinga hapa

Kwanza hama simba
Huu ni mtazamo wangu na sijalazimisha mtu yeyote kuufuata huu ushauri.
 
Mechi ya Simba na Yanga sio kipimo cha kujua ubora wa team bro

Kwahiyo hilo pengo la kina chama na luis umeliona kwa mechi moja tu ndo utoe tathmini ya msimu mzima toa ujinga hapa

Kwanza hama simba
Kwa mtazamo wako wewe ubora wa tumu unapimwa kwa mechi gani?
 
Ningetegemea uzungumzie zaidi mapengo ya nafasi kuliko ya watu. Miquissone amekuja Simba ikiwa tayari mabingwa mara mbili. Hapo pia pengo lake lilikuwapo?
 
Mechi ya Simba na Yanga sio kipimo cha kujua ubora wa team bro

Kwahiyo hilo pengo la kina chama na luis umeliona kwa mechi moja tu ndo utoe tathmini ya msimu mzima toa ujinga hapa

Kwanza hama simba
Mashabiki wengi wanakariri Chama na Merqueson,kuna wakati Simba ikifungwa na hao wakiwemo.
Ukiwa shabiki wa mpira alafu huamini matokeo ya kufungwa basi hufai kuwa shabiki wa soka.
 
Hivi ajibu anacheza namba ngapi?

Huu ndo wakati wa kumfanya awe playmaker

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
 
Hizi Match za simba na yanga sio kipimo cha ubora wa timu, mpira unachezwa nje, na kukamiana tu, hakuna cha mbinu za kocha wala nini!!
 
Simba wamekosa mtu mbunifu mithili ya chama na miqquissone kule mbele.

Kocha hana budi kubadilisha aina ya uchezaji kwani kwa sasa bado hana key players.

Kwenye robo tatu ya mbele,Simba kwa hizi mechi mbili wamekosa ubunifu kabisa.
 
Hao kina Chama na Miqquisone wasingebaki Simba milele hivyo kusema ndio kilichowagharimu Simba sio sahihi.

Isitoshe ukitazama kwa makini mechi ya kwanza ya Simba na Mazembe na hii ya Yanga utagundua kuna aina mpya ya uchezaji Gomes ameianzisha ili kuiondoa timu kwenye mfumo wa kucheza wakimtazama Chama kama mbunifu mkuu.

Naamini Simba itakaa sawa tu mfumo ukikolea na itafanya vizuri kwenye ligi ya nyumbani na hata CACL.
 
Sasa msajili nini tena wakati nafasi za kusajili 12 zimejaa? au labda wakuwatumia kimataifa
Wamesahau bora umewakumbusha Makolokolo FC.Hovyo kabisa,Timu ya Yanga ina nafasi za wachezaji wawili wa kimataifa haukumaliza Usajiri wake ila Makolokolo FC walushamaliza kwa papara zao
 
Walijaza tu nafasi zao kwa usajili kwa sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…