Kwani yule Chikwende mlimpeleka wapi?Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni ndoto. Huko champions league ndio kabisa tutaishia kwenye makundi.
Sasa mambo ya muda wakati muda hautungoji, hapa ifikie muda mmoja kat ya kagere na huyo kope anayetukwaza aondoke apishe top striker wa kutuamulia namna ya kurudsha simba yenye ukali dzain ya enz za chama na konde bwoy.Huo ndio ukweli. Bila shaka kuanzia sasa wakatakuwa wanatafuta foward,waliopo wamechoka sana. Sehemu zingine ziko poa,ni suala la muda tu
kwa hiyo wewe mkuu unatakaje? waachwe kesho? achana na ndogo za Chama na Luis,Sasa mambo ya muda wakati muda hautungoji
Umeongea ukweli.Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni ndoto. Huko champions league ndio kabisa tutaishia kwenye makundi.
Sisi mashabiki wa msimbaz hatubshani kaka tunakosoana kwa kuijenga simba. Sorry kama nmekukwazakwa hiyo wewe mkuu unatakaje? waachwe kesho? achana na ndogo za Chama na Luis,
hujanikwaza mkuu. Hoja yangu ilikuwa kuna watu ni wazuri sana Simba,mpaka dirisha dogo linafika itajulikana kama wabovu ama lah. Wewe unasema hakuna haja ya kungoja,sasa unataka nini kifanyike kama hata kusubiri dirisha dogo lifike hutaki?Sisi mashabiki wa msimbaz hatubshani kaka tunakosoana kwa kuijenga simba. Sorry kama nmekukwaza
Hapo nmekuelewa lkn nlmaanisha kpnd cha dirisha dogo ndo straiker mmoja atupishe ili tupate ingizo jpya lililo bora, maana nahis mpaka hivi sasa tutakuwa tumejaza nafasi zote za foreignershujanikwaza mkuu. Hoja yangu ilikuwa kuna watu ni wazuri sana Simba,mpaka dirisha dogo linafika itajulikana kama wabovu ama lah. Wewe unasema hakuna haja ya kungoja,sasa unataka nini kifanyike kama hata kusubiri dirisha dogo lifike hutaki?
mi naona Mugalu na Kagere wote tu waondoke,abaki Bocco maana Bongo hakuna stiker na huwezi kumreplace na foreignerHapo nmekuelewa lkn nlmaanisha kpnd cha dirisha dogo ndo straiker mmoja atupishe ili tupate ingizo jpya lililo bora, maana nahis mpaka hivi sasa tutakuwa tumejaza nafasi zote za foreigners
Tunatoa mechi ya watani ambayo unasema ilikuwa ni political. Haya tuambie performance ya timu ya simba dhidi ya Biashara na dodoma jiji ilikuwa ni kiwango cha kuridhisha kama misimu ya nyuma?kama hujui sasa ndiyo nakwambia Simba ina kikosi kikubwa na chenye ubora mkubwa mno - kwa mfano sasa hivi wachezaji 4 ni majeruhi ila ukipanga kikosi mziki ni ule ule.
Ile game ya watani its more political, usiichukulie kama kama kigezo utapotea.
Kwangu mimi SIMBA NI MA CHAMPIONI TENA hili halina ubishi, uless uwe na ubishi wa ukoo kama yule msema hovyo.
ndiyo maana nakwambia hujui soka na hujui kuchambua - huwezi kupima uwezo wa timu kwa mechi mbili ambazo viwanja vyenyewe kwanza ni kama vya kuchungia mbuzi.Tunatoa mechi ya watani ambayo unasema ilikuwa ni political. Haya tuambie performance ya timu ya simba dhidi ya Biashara na dodoma jiji ilikuwa ni kiwango cha kuridhisha kama misimu ya nyuma?