Simba tutatoboa kweli makundi mwaka huu 2023?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho.

Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
 
Viongozi walishindwa kumleta manzoki ili atupe point uwanjani badala yake wakamleta kwenye uchaguzi ili atupe point za kushinda uchaguzi.
 
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho.

Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
chama na saido mmoja awe anaanzia benchi baadae saido ndio aingie.hii sentensi haijakaa vizuri iweke sawa
 
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho.

Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
Thimba guvu moya Mwamedi FC Pusha FC Sembe FC.
 
Kwa tabu sana mkuu. Tuendelee kujipa moyo.
 
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho.

Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
Mwendelee kutengeneza timu kwa msimu ujao na msisahau kuwastaafisha wazee kwa manufaa ya klabu utakuta mnawapa tena wasinye miaka 2 mtakiona cha moto
 
Watanzania wanapenda mambo ya faster faster sana na hii ni kila sehemu kwenye hela kwenye kazi iwe kwenye siasa hivi kuna team gani duniani ambayo haifungwi au kupitia kipindi kigumu haipo ila Tanzania team ikifungwa kelele kibao.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom