SIMBA TZ YATINGA MAKUNDI CLUB BINGWA AFRICA

SIMBA TZ YATINGA MAKUNDI CLUB BINGWA AFRICA

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
292
wakenya tuliwaambia kuwa sportpesa huwa tunaleta vikosi B na hatuna mpango nayo mnasema tz hakuna michezo embu mje mtuonyeshe Gormahia iko wapi katika hii list
IMG_20181223_223951_851.jpg
 
Mbona kam chache saan,apa ndo makund mangap yatatoka ?
 
wakenya tuliwaambia kuwa sportpesa huwa tunaleta vikosi B na hatuna mpango nayo mnasema tz hakuna michezo embu mje mtuonyeshe Gormahia iko wapi katika hii listView attachment 975720
Mkuu hilo mbona na wachambuzi wa soka wa Kenya wanalijua. Niliwasikia wakilijadili, Sportpesa cup ni shindano ambalo halijawahi pewa uzito Bongo. Msimu huu wamebadili ratiba ili timu za Tz ziweke full squad siyo kama nyuma ambapo lilikua linafanyika ligi ya Bongo ikiwa imeisha, ma pro wamesha enda likizo.
 
So kwenye Team 100 bora Tz imetoa timu 3, Kenya 1 na best ranked team in E.A ni Yanga. Hii list mbona haileti unafuu kwa upande wenu.. this proves Tz has the best league in E.A, next year CAF wanaeza kuongeza slots za timu kutoka Tz.
yan simba akifanikiwa kufika nusu fainali tanzania inaongezewa idadi ya timu za kushiriki klabu bingwa afrika
 
kumbe vile vitimu vya tusker na leopard navyovisikiaga ni taka taka tuuu
 
kumbe vile vitimu vya tusker na leopard navyovisikiaga ni taka taka tuuu
Vinajulikana Kakamega na Bungoma tu, ukienda lagos au Tunis hawajawahi ata kuvisikia. Ila taja Simba au Yanga mpaka south America wanazitambua. One the biggest derbies in the world, Simba Vs Yanga.
 
Vinajulikana Kakamega na Bungoma tu, ukienda lagos au Tunis hawajawahi ata kuvisikia. Ila taja Simba au Yanga mpaka south America wanazitambua. One the biggest derbies in the world, Simba Vs Yanga.
bora wakomae na kukimbiza upepo ndio wanacho kiweza
 
Mkuu hilo mbona na wachambuzi wa soka wa Kenya wanalijua. Niliwasikia wakilijadili, Sportpesa cup ni shindano ambalo halijawahi pewa uzito Bongo. Msimu huu wamebadili ratiba ili timu za Tz ziweke full squad siyo kama nyuma ambapo lilikua linafanyika ligi ya Bongo ikiwa imeisha, ma pro wamesha enda likizo.
Hahaha Naimani awamu hii Wataweka kipindi ligi ya Tanzania ina endelea waone moto
 
Hahaha Naimani awamu hii Wataweka kipindi ligi ya Tanzania ina endelea waone moto
Yes mkuu.. na litafanyika Dar na Mwanza. Hatoki mtu hapo, hao Everton kama wakija na kucheza na Simba sizani kama Chama wata muacha.
 
Back
Top Bottom