Yashapangwa tyr kwan?makundi ni manne tuuu mkuu
So kwenye Team 100 bora Tz imetoa timu 3, Kenya 1 na best ranked team in E.A ni Yanga. Hii list mbona haileti unafuu kwa upande wenu.. this proves Tz has the best league in E.A, next year CAF wanaeza kuongeza slots za timu kutoka Tz.
Mkuu hilo mbona na wachambuzi wa soka wa Kenya wanalijua. Niliwasikia wakilijadili, Sportpesa cup ni shindano ambalo halijawahi pewa uzito Bongo. Msimu huu wamebadili ratiba ili timu za Tz ziweke full squad siyo kama nyuma ambapo lilikua linafanyika ligi ya Bongo ikiwa imeisha, ma pro wamesha enda likizo.wakenya tuliwaambia kuwa sportpesa huwa tunaleta vikosi B na hatuna mpango nayo mnasema tz hakuna michezo embu mje mtuonyeshe Gormahia iko wapi katika hii listView attachment 975720
Dar young Africans for real..
yan simba akifanikiwa kufika nusu fainali tanzania inaongezewa idadi ya timu za kushiriki klabu bingwa afrikaSo kwenye Team 100 bora Tz imetoa timu 3, Kenya 1 na best ranked team in E.A ni Yanga. Hii list mbona haileti unafuu kwa upande wenu.. this proves Tz has the best league in E.A, next year CAF wanaeza kuongeza slots za timu kutoka Tz.
Vinajulikana Kakamega na Bungoma tu, ukienda lagos au Tunis hawajawahi ata kuvisikia. Ila taja Simba au Yanga mpaka south America wanazitambua. One the biggest derbies in the world, Simba Vs Yanga.kumbe vile vitimu vya tusker na leopard navyovisikiaga ni taka taka tuuu
bora wakomae na kukimbiza upepo ndio wanacho kiwezaVinajulikana Kakamega na Bungoma tu, ukienda lagos au Tunis hawajawahi ata kuvisikia. Ila taja Simba au Yanga mpaka south America wanazitambua. One the biggest derbies in the world, Simba Vs Yanga.
Hahaha Naimani awamu hii Wataweka kipindi ligi ya Tanzania ina endelea waone motoMkuu hilo mbona na wachambuzi wa soka wa Kenya wanalijua. Niliwasikia wakilijadili, Sportpesa cup ni shindano ambalo halijawahi pewa uzito Bongo. Msimu huu wamebadili ratiba ili timu za Tz ziweke full squad siyo kama nyuma ambapo lilikua linafanyika ligi ya Bongo ikiwa imeisha, ma pro wamesha enda likizo.
Yes mkuu.. na litafanyika Dar na Mwanza. Hatoki mtu hapo, hao Everton kama wakija na kucheza na Simba sizani kama Chama wata muacha.Hahaha Naimani awamu hii Wataweka kipindi ligi ya Tanzania ina endelea waone moto