Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Simba mnatia aibu kwakwel baña kwa hiyo hizo kadi tatu ndio zilisababishwa mfungwe acheni zenu chezeni mpira
 
kwa hiyo simba leo ndo wanaliona hili. mbona wao yule mchezaji wao aliye pewa kadi tatu za njano mbona walitete kwa nguvu zote.......

Leo kwao na hapa ndiyo tunataka kujua bodi ya ligi itachukua maamuzi gani. ikiwabeba Simba ndo tutajua juwa kweli ligi yetu ni mbovu.....

Kama yanga ikichukuwa ubingwa mara 3 mfululizo sioni shida hapo.kama unataka ubingwa jipange uwe na timu nzuri ya ubingwa. maswala ya figisu figisu ndo yanayo uwa soka la bongo na vilabu kuto kuendelea....

Nilitemea ukubwa wa Simba na Yanga leo hii vingekuwa vinajiendesha vyewe hata kwa mapato ya uwanjani. sasa mapato ya uwanjani yanapatikana mpaka wacheze simba ya Yanga....

Natamani siku moja viongozi wa TFF pamoja na vyombo vyake wa ajiliwe nje ya nchi ili watowe mfano kwa viongozi wa TFF.. Leo hii EPL ingekuwa ina viongozi wanao endesha ligi kwa mahaba natumai naona Man U kila mwaka wangekuwa wana nyanyua makwapa.kwakuwa wanajua ligi ilivyo wanafata kanuni za kimpira na wameshajua jua kuwa Soka ni biashara kubwa duniani ...lakini sisi tumeferi viogozi wanajali matumbo na sio Mustakabari wa soka letu....


WIZARA YA MECHEZO IINGILIE KATI PAMOJA NA WATU WA USALAMA WAINGILIE KATI
BILA KUSAHAU TAKUKURU KWANI NDANI YA SOKA LA BONGO KUNANUKA RUSHWA

BORA tusiwe na simba na Yanga ila tuwe na ligi bora na sio bora ligi
 
Acha woga. Kwa nini umeshindwa kumalizia hapo chini, MwanaYANGA
 
Acha woga. Kwa nini umeshindwa kumalizia hapo chini, MwanaYANGA
Hiyo ni kasumba ya wanasimba kila wanaposemwa maovu yao wanasema yanga ndio wanasema hata police walipolalamika ya lufunga manara alisema yanga hao
 
Kuna utaratibu simba waliuanzisha wa kuruhusu mchezaji kuchagua mechi sasa hapa wanacholilia ni nn
 
Kama ninyi mnajua zaidi,basi katoeni ushahidi,Povu la Nini? Hizi zama za uwazi,Hakuna bao la mkono tena...hivi mungekuwa ninyi mngekubali na ubishi wenu...YANGA? Acheni sinema zenu...Haki itendeke.
 
Malinzi ndy kikwazo namba moja kwenye ubingwa wa simba....ila wana simba tunasema MBELE...NYUMA kote ni KUGEGEDWA tu..
Ni kweli aisee...

Malinzi huwa anawazuia wachezaji wa simba kupata Mabao wawapo kwenye mechi...

Na ndio yeye anayetoa assist kwenye mechi za Yanga ambazo akina Msuva, Tambwe, Chirwa na wengineo wanafunga...

Na ndio yeye aliyesababisha hata Mbaraka Yusuph akapata Bao pale Kaitaba...

Bila kusahau lile bao la dakika za mwisho la Africa Lyon.... Ni yeye pia amesababisha...

Yaani huyu Malinzi ni tatizo kubwa sana kwa klabu ya simba kupata ubingwa.. Kwa kuwa Klabu yetu iwapo uwanjani unashindwa kupata matokea mazuri kwa sababu tu.. Malinzi ni Rais wa TFF...
 
Mara ngp mnapewa ratiba za kupanga matokeo? Na magoli ya mkono kwamba lazima vyura fc ashinde
 
Mara ngp mnapewa ratiba za kupanga matokeo? Na magoli ya mkono kwamba lazima vyura fc ashinde
Hebu tuambie hizo ratiba za kupanga matokeo ni za namna gani ? Hatuja kuelewa hapo!
 
mpira una kanuni zake ,kama kun uzembe ulifanyika achenj sheria na kanuni zifanye kazi kwani hao yanga ubingwa umewasaidia nini mara zote walizochukua hata simba nao hautawasaidia chochote bado timu hizi zinaongozwa kizamani tuu tena timu hizi ni adui wa mpira wa bongo natamani zipotee ktk ramani ya soka au ziwe makampuni tu huenda zikabadilika mitazamo yake,timu hata viwanja vya mazoezi hawana kama sio upumbavu ni nini akiliii au matope kudadadeki
 
Hebu tuambie hizo ratiba za kupanga matokeo ni za namna gani ? Hatuja kuelewa hapo!
Wewe duniani umeona wapi timu ikawa na VIPORO VYA MECHI 5""au bila sababu ya msingi timu icheze leo na ingine ichezwe ksho...viwanja tofauti...tena mechi za mwisho
 
Wewe duniani umeona wapi timu ikawa na VIPORO VYA MECHI 5""au bila sababu ya msingi timu icheze leo na ingine ichezwe ksho...viwanja tofauti...tena mechi za mwisho


Mkuu Umeanza kushabikia Mpira ukubwani?

Kwa hivyo Yanga akiwa na viporo vya mechci 5 inapelekeaje wachezaji wa simba kukosa nguvu za miguuni za kushinda mechi zao?

Una maanisha Yanga akiwa na kiporo inawaathiri wachezaji wa simba hata washindwe kufanya vyema kiwanjani?

hebu nisaidie kidogo! nashindwa kukuelewa mwenzangu....Hivi viporo vya klabu nyingine zinaathiri vipi perfomance ya timu yako? Au inakuwaje timu yako inashindwa kuhakikisha inashinda game zake zote mpaka ianze kuhamisha macho kwa jirani na kuanza kutathmini matokeo ya jirani...?
 
Wewe huoni kama kujuwa matokeo ya mwenzio na ww unaweza ukafanya figisu za kununuwa?na vyura fc ndy mabingwa wa MIAMALA
 
Wewe duniani umeona wapi timu ikawa na VIPORO VYA MECHI 5""au bila sababu ya msingi timu icheze leo na ingine ichezwe ksho...viwanja tofauti...tena mechi za mwisho




Hebu tutajie viporo hivyo vya game 5 ambavyo Yanga ilishawahi kuwa navyo!?
 
Wewe huoni kama kujuwa matokeo ya mwenzio na ww unaweza ukafanya figisu za kununuwa?na vyura fc ndy mabingwa wa MIAMALA



Kuna ushahidi wowote unaothibitisha madai yako? Au ndoto ambazo amekuwa ameziota Usiku hans pope na wewe ndio unatembe nazo?

Una lolote la kuthibitisha hilo uliamini alo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…