ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mtu yeyote atakaye bisha kuhusu kushuka kwa ubora wa simba basi sio mwana michezo bali ni shabiki maandazi.
Ila tatizo ni pale watu wanapo zidisha chumvi kupita kiasi juu ya ubovu wa kikosi cha simba,yaan sasa hivi ukisikia kuanzia wachambuzi kwenye tv ,redio,na kwenye mitandao ya kijamii utadhani simba inazidiwa hata na Gwambina.
Ni kweli kiwango cha simba kimeshuka ila msiidunishe kiasi hicho ,maana simba hata akonde vip hawezi kuwa paka.
Wachambuzi punguzeni chumvi na wekeni akiba ya maneno huu ni mpila na una maajabu yake , hii hii simba mnayo shinda mnaibeza inaweza kuwashangaza na kuwatia aibu.