Simba ubora wake umepungua ila tunazidisha chumvi

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Mtu yeyote atakaye bisha kuhusu kushuka kwa ubora wa simba basi sio mwana michezo bali ni shabiki maandazi.

Ila tatizo ni pale watu wanapo zidisha chumvi kupita kiasi juu ya ubovu wa kikosi cha simba,yaan sasa hivi ukisikia kuanzia wachambuzi kwenye tv ,redio,na kwenye mitandao ya kijamii utadhani simba inazidiwa hata na Gwambina.

Ni kweli kiwango cha simba kimeshuka ila msiidunishe kiasi hicho ,maana simba hata akonde vip hawezi kuwa paka.

Wachambuzi punguzeni chumvi na wekeni akiba ya maneno huu ni mpila na una maajabu yake , hii hii simba mnayo shinda mnaibeza inaweza kuwashangaza na kuwatia aibu.
 
Sawaa... Sisi mashabiki wa Simba na Man U tumekubali yote
 
Wachambuzi wa tz ni bendera fuata upepo maoni ya mchambuzi mmoja au ya kituo fulani yanakuwa ya wote,mmoja akisema timu fulani ipo hivi wote wanafuatisha.
 
Hyo michambuzi ucwara isikupe presha
 
Ukiangalia takwimu za mechi za yanga na Simba dhidi ya wapinzani wao,na maneno ya wachambuzi,utagundua tatizo la afya ya akili lilivyo kubwa nchi hii.
Ndiyo maana sijuti kuacha kusikiliza utopolo wa clouds katika vipindi vya sport.
 
Ukiangalia takwimu za mechi za yanga na Simba dhidi ya wapinzani wao,na maneno ya wachambuzi,utagundua tatizo la afya ya akili lilivyo kubwa nchi hii.
Ndiyo maana sijuti kuacha kusikiliza utopolo wa clouds katika vipindi vya sport.

 
Mtakatifu Chama๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ