Simba Ukawa, Yanga wanaiogopa sana Ikiungana na Friends of Simba

Simba Ukawa, Yanga wanaiogopa sana Ikiungana na Friends of Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Siku zote Simba ikiwa nguvu moja ni hatari sana kwa Yanga. Kilichowasaidia Yanga kipindi cha Nyuma ni mnyukano wa simba FOS na Simba Ukawa. H. Dalali inasemekana amekuwa akifanya juhudi za kuwarudisha hawa Simba. Na ni mtu asiyeifaham simba ambaye atadharau juhudi hzi.

Swali kwa wadau wa simba. Nguvu ya Simba Ukawa ni nini hasa? Kwa nini hawa wamekuwa na mchango negative na positive kwa simba?
 
Back
Top Bottom