fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
kadi3 za kujitungia,ukweli simba walilambishwa shubiri tu,aliyewatonya kawaingiza choo cha kike,either hakupiga mahesabu vizurHakuna kitu kibaya kama ushindi wa mezani ila hapa hoja iwe je sheria inasemaje mtu kuwa na card 3 na je ni kweli alikuwa na card 3? Baada ya hapa haki ichukue mkondo wake. Na kama tunadhani card 3 ni sheria mbovu basi vikao halali vifanye kazi kuzifuta ijulikane tu card sio issue.
Ndio maana nimesema kama card 3 sio kweli basi simba hawana haki. Mimi sijasema simba wapewe ila kama card ni kweli sheria zipo. Haya mambo ya hovyo ndio maana tunaambulia kupigwa tu 3 mara 4 yaani hovyo tu.kadi3 za kujitungia,ukweli simba walilambishwa shubiri tu,aliyewatonya kawaingiza choo cha kike,either hakupiga mahesabu vizur
Kama simba angebaki na point tatau maana yake ni kwa sababu kanuni zilizngatiwa ata anavyopokonywa point tatu ni hizo hizo kanuni zinezingatiwa pia maana kama ushindi wa walopewa na kamati ya SAA 72 ni wa kikanuni na ata haki waloipata kagera ni ya kikanuni.. Sasa turudia kwenye sheria ambapo inaonekana ni yenye mapungufu hasa unapojiulza je, unapochelewa kukata rufaa na ushaid unaonesha kuna jambo limekiukwa haki yako unaipataje?Hakuna kitu kibaya kama ushindi wa mezani ila hapa hoja iwe je sheria inasemaje mtu kuwa na card 3 na je ni kweli alikuwa na card 3? Baada ya hapa haki ichukue mkondo wake. Na kama tunadhani card 3 ni sheria mbovu basi vikao halali vifanye kazi kuzifuta ijulikane tu card sio issue.
Tuchukulie kadi tatu anazo na kanuni zinaelekeza kuwa lazima:-Hakuna kitu kibaya kama ushindi wa mezani ila hapa hoja iwe je sheria inasemaje mtu kuwa na card 3 na je ni kweli alikuwa na card 3? Baada ya hapa haki ichukue mkondo wake. Na kama tunadhani card 3 ni sheria mbovu basi vikao halali vifanye kazi kuzifuta ijulikane tu card sio issue.
Mimi nakubaliana na wewe ila kana kanuni ziko sasa rufaa ya nini? Kama kanuni ziko sheria ichukue nafasi yake suala la rufaa kama unapinga huyo kanuni au hukuridhika na maamuzi. Kanuni kwanza rufaa baadaeTuchukulie kadi tatu anazo na kanuni zinaelekeza kuwa lazima:-
1. Uandike barua ndani ya 72hrs kwa barua rasmi ukionesha hoja zako.
2. Uambatanishe na ada ya malalamiko yako sh. 300,000/-
Swali, je walifuata kanuni hizo? Simba
Hapo ndio utata, kanuni zipo wazi rufaa ya masaa 72 ya nini? Hapo suala je mchezaji alikuwa na card 3? Kama yes simba anapewa point kama sio basi. Ikiwa ni yes hapo kagera ndio wa kukata rufaa kama hawaamini ana card 3. Sasa jana unamsikia Mkwasa anasema sheria zibadilishwe ok lakini kubadili sheria karibia league inaishaKama simba angebaki na point tatau maana yake ni kwa sababu kanuni zilizngatiwa ata anavyopokonywa point tatu ni hizo hizo kanuni zinezingatiwa pia maana kama ushindi wa walopewa na kamati ya SAA 72 ni wa kikanuni na ata haki waloipata kagera ni ya kikanuni.. Sasa turudia kwenye sheria ambapo inaonekana ni yenye mapungufu hasa unapojiulza je, unapochelewa kukata rufaa na ushaid unaonesha kuna jambo limekiukwa haki yako unaipataje?
Mimi nakubaliana na wewe ila kana kanuni ziko sasa rufaa ya nini? Kama kanuni ziko sheria ichukue nafasi yake suala la rufaa kama unapinga huyo kanuni au hukuridhika na maamuzi. Kanuni kwanza rufaa baadae
Simba buana! Hata kuandika hawajui...Mimi nakubaliana na wewe ila kana kanuni ziko sasa rufaa ya nini? Kama kanuni ziko sheria ichukue nafasi yake suala la rufaa kama unapinga huyo kanuni au hukuridhika na maamuzi. Kanuni kwanza rufaa baadae
Sasa ndugu yangu mimi sisemi simba tu ni team yoyote imevunja kanuni adhabu ni sawa tu kama huyo mchezaji alicheza mechi hizo na majimaji na hakutakiwa kucheza kanuni zifwate tatizo hapa team ikivunja kanuni basi kama hakuna rufaa inakuwa halali? Narudia tena kanuni haisubiri rufaaKama sheria zitatumika Mtibwa na Majimaji nao wapewe point maana walicheza na Kagera kabla kucheza na Simba na wote walifungwa
Tunarudi kulekule usimba na Yanga ndio maana hatufiki kokote tunaishia vichapo tu. Sasa kwa taarifa yako mimi mipira ya bongo hata hainiumizi kichwa hapa ni sheria za sika lazima ziheshimiwe. Halafu ndugu yangu mtu msomi hata akiona mtu katype error anaelewa tu huyu mtu ana maanisha kitu gani.Simba buana! Hata kuandika hawajui...
Huwa sishangilii ubingwa wa Yanga wa Simba maana najuwa mipango mingi tu ni kama ile mechi ya simba na mbao ni wazi yule kipa kauza game sasa unategemea mimi nishangilie wakati na mashaka na uwezo wao. Mimi naamini yes ile mechi kuna mchezo.Simba buana! Hata kuandika hawajui...
Kipi kuliwafanya mkate rufaa kwanza kabla ya kuiacha TFF ushughulie na kanuni kwenye hilo suala.?Mimi nakubaliana na wewe ila kana kanuni ziko sasa rufaa ya nini? Kama kanuni ziko sheria ichukue nafasi yake suala la rufaa kama unapinga huyo kanuni au hukuridhika na maamuzi. Kanuni kwanza rufaa baadae
Hapo kwenye sheria, Je taratibu za kukata rufaa hiyo ya kadi 3 zilifuatwa sawa sawa?Hakuna kitu kibaya kama ushindi wa mezani ila hapa hoja iwe je sheria inasemaje mtu kuwa na card 3 na je ni kweli alikuwa na card 3? Baada ya hapa haki ichukue mkondo wake. Na kama tunadhani card 3 ni sheria mbovu basi vikao halali vifanye kazi kuzifuta ijulikane tu card sio issue.