Simba VS Azam FC Live Updates..!

Simba VS Azam FC Live Updates..!

jambo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Posts
241
Reaction score
29
Dakika ya 18
Simba 1-Azam 1
Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco..
mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...!
Azam full kiwango
 
Dakika ya 18
Simba 1-Azam 1
Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco..
mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...!
Azam full kiwango
Dakika ya 26
Azam wamepata Bao mfungaji ni Mrisho Ngassa..baada ya kumramba chenga Kaseja..!
 
Dakika ya 18
Simba 1-Azam 1
Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco..
mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...!
Azam full kiwango

Asante mkuu endelea kutujuza ambao hatupo hapo uwanjani.
 
Ngasaaa wetuuuuu rudiiii nyumbaniiiii....yanga wanajutaaa maana uliuzwa kwa utashi wa kugombea ubunge(pesa za kampeni) za kura ya maoni....
 
Final score

simba sc 2 - 3 azam fc
 
Back
Top Bottom