jambo1 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2009 Posts 241 Reaction score 29 Jan 23, 2011 #1 Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango
Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango
jambo1 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2009 Posts 241 Reaction score 29 Jan 23, 2011 Thread starter #2 jambo1 said: Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango Click to expand... Dakika ya 26 Azam wamepata Bao mfungaji ni Mrisho Ngassa..baada ya kumramba chenga Kaseja..!
jambo1 said: Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango Click to expand... Dakika ya 26 Azam wamepata Bao mfungaji ni Mrisho Ngassa..baada ya kumramba chenga Kaseja..!
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Jan 23, 2011 #3 Twende kazi
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jan 23, 2011 #4 tuko pamoja mzeya
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Jan 23, 2011 #5 jambo1 said: Dakika ya 26 Azam wamepata Bao mfungaji ni Mrisho Ngassa..baada ya kumramba chenga Kaseja..! Click to expand... Eboooo!!!!!!
jambo1 said: Dakika ya 26 Azam wamepata Bao mfungaji ni Mrisho Ngassa..baada ya kumramba chenga Kaseja..! Click to expand... Eboooo!!!!!!
Digaller JF-Expert Member Joined Oct 20, 2009 Posts 798 Reaction score 541 Jan 23, 2011 #6 jambo1 said: Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango Click to expand... Asante mkuu endelea kutujuza ambao hatupo hapo uwanjani.
jambo1 said: Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango Click to expand... Asante mkuu endelea kutujuza ambao hatupo hapo uwanjani.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jan 23, 2011 #7 Ngasaaa wetuuuuu rudiiii nyumbaniiiii....yanga wanajutaaa maana uliuzwa kwa utashi wa kugombea ubunge(pesa za kampeni) za kura ya maoni....
Ngasaaa wetuuuuu rudiiii nyumbaniiiii....yanga wanajutaaa maana uliuzwa kwa utashi wa kugombea ubunge(pesa za kampeni) za kura ya maoni....
Elba JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 382 Reaction score 104 Jan 23, 2011 #8 Updates please!
CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jan 23, 2011 #9 Final score simba sc 2 - 3 azam fc