Simba vs es setif live

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Habari wapenda soka
naona mashabiki wanazidi kuingia uwanjani kusubiri mtanange unaotarajia kuanza punde
karibuni tupeane update,simba oyeeeeee!

FT:simba vs Es setif 2:0
 
Jamaa wanapaki basi balaa!
Sijui kama kutakua na goli kwa upande wa simba,mpaka sasa ni mapumziko hakuna magoli.
 
Bora simba wadroo waende kutengeneza uwanja wao wenye mbigili.
 
Hakuna kituo kinachoonyesha live huo mpira?
 
Simba wanapata bao la pili....ni Boban!!
 
Simba wanapata bao la pili....ni Boban!!

Ni matokeo mazuri kama Simba watamaliza na ushindi huo wa 2-0 hiyo inatosha kabisa, wajitahidi wasiruhusu bao tu.VIVA SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Ila Simba wasibweteke wakienda arabuni wacheze kwa kasi watafute bao la ugenini la mapema la sivyo Waarabu hawaeleweki watawashushieni mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…