Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapema mno kukata tamaa mkuu........inakatisha tamaa alafu inaumaa ila ngoja tuvumilie tu......tusubiri msimu ujao.
Kwakweli sioni kinachofanyika, na hii ikifumbiwa macho na nafasi ya tatu tuta kosa msimu huu, jamaa wanashindwa kutumia mianya inayopatikana!!!!Ni mapema mno kukata tamaa mkuu.