Simba vs JKT Oljoro

Club inayo ongozwa na raage wee unategemea nini?
kama si kamchezo ka 'kuuza' mechi
 
.......inakatisha tamaa alafu inaumaa ila ngoja tuvumilie tu......tusubiri msimu ujao.
 
Ni mapema mno kukata tamaa mkuu.
Kwakweli sioni kinachofanyika, na hii ikifumbiwa macho na nafasi ya tatu tuta kosa msimu huu, jamaa wanashindwa kutumia mianya inayopatikana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…