Simba VS JKT Ruvu: Leo tunazidi kumpumulia Yanga kisogoni!

Simba VS JKT Ruvu: Leo tunazidi kumpumulia Yanga kisogoni!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Leo Mnyama anaendela kukusanya pointi ,na tunazidi kumpumulia mtani kisogoni.....ogopa sana mtu anayekukimbiza kimyakimya!😉 ujue amedhamiria
 
Hii mech ni mawil kuchezwa maana kuna maji meng sana uwanjan
 
Maamuzi ya mech kuchezwa or kutochezwa yatatoka saa kumi na nusu
 
Bado mechi haijairishwa waamuzi wanakagua uwanja kama mpira unaweza kuchezeka kwa maji yaliyopo.
Sababu mvua imenyesha ya kutosha.
Tunasubiri maamuzi tu toka kwa referees
 
Bodi ya ligi imekula kwenu. Mlikataa kuahirisha mechi sasa imeahirishwa kwa nguvu.
 
Afadhali maana Hii match ingeleta majeraha kwa wachezaj wa simba kuelekea match ya mazembe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom