Habari mbaya na muda unakaribiaHii mech ni mawil kuchezwa maana kuna maji meng sana uwanjan
Duh ila hiyo ilikuwa mvua ya jumamosi mmeitumia leo sijui itakuwajeBodi ya ligi imekula kwenu. Mlikataa kuahirisha mechi sasa imeahirishwa kwa nguvu.
HahahahahahahahahBodi ya ligi imekula kwenu. Mlikataa kuahirisha mechi sasa imeahirishwa kwa nguvu.