knownless Senior Member Joined Dec 23, 2011 Posts 172 Reaction score 47 Mar 2, 2012 #1 Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE. Habari hii nimeipata kupitia tangazo lao kwenye tv hiyo.
Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE. Habari hii nimeipata kupitia tangazo lao kwenye tv hiyo.