Simba Vs KMC mechi ya kirafiki 08.06.2020

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Simba leo anacheza na KMC uwanja wa Mo Arena ,mechi ni jioni ya leo

Updates

Dk 30

SIMBA 0 - KMC 1
Charles ilanfya

Update
Dk 34

SIMBA 1- KMC 1
Bocco

Half time
1-1

Update
----------------------

Simba 2- KMC 1

Dk 74'
Bocco
Assist kutoka kwa Kahata

SIMBA 3- KMC 1
Dk 88'
Ajibu

FULL TIME
SIMBA 3- KMC 1

 
Hawa kmc si walicheza na sisi jana?

Inakuaje leo tena kmc acheze na simba bila kupumzika?
 
Ndoto za mchana
Hatupoi baada ya hapo jana kutembeza kipigo kwa chura FC aka mikia FC aka utopolo FC leo ni zamu ya kuwapa kipigo hawa takataka FC
 
KMC lineup
 
Hata simba leo asubuhi walicheza na Transit Camp matokeo ilikuwa 4-2

Magoli ya Simba
3' Deo Kanda
15' Fraga
17' Tairone
46'Medie Kagere
Aisee mbona kama simba ndio imefantiwa husda ya wazi wazi?
 
Simba 0- KMC 1
Dk 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…