Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
HAHAAA.ETI KIGAMBONI....BWAWA LENU VIPI KULE JANGWANI MKUU!!Kwa hiyo unamaanisha ilitakiwa mechi yetu ya jana tungetaman kuchezea kigamboni au
.Simba leo anacheza na KMC uwanja wa Mo Arena ,mechi ni jioni ya leo
Updates[emoji116][emoji116]
Dk 30
SIMBA 0 - KMC 1
Charles ilanfya[emoji460]οΈ
Update
Dk 34
SIMBA 1- KMC 1
Bocco[emoji460]οΈ
Half time
1-1
Update
----------------------
Simba 2- KMC 1
Dk 74'
Bocco[emoji460]οΈ
Assist kutoka kwa Kahata
SIMBA 3- KMC 1
Dk 88'
Ajibu[emoji460]οΈ
FULL TIME
SIMBA 3- KMC 1
SawaMimi ni Simba ila hawa watoto watatupiga. Sitaki kufuatilia hii gemu
Mlitiwa kimoko 8 Machi 2020.Siyo kama utopolo likizo hii hadi kina nyonzima wana vitambi
Cha nguruwe....Kimoko kitu gani bhana,mbona sisi tulishapiga 6 bila ,5 bila hadi leo hamjarudisha ,shameless
ha haaaaaaaa 08 Machi.Huna lolote