Simba VS Lipuli...Kiporo kigumu sana

Nitaipatia uhakika wa point Simba ikishacheza na hizo timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo timu mbili ulizozitaja tukianza na mtibwa tokea mwaka huu wa 2019 uanze hajashinda hata mechi mmoja na huyo kagera yupo nafasi za kushuka daraja na kina biashara: lakini pia ujue alliance utakayecheza nae hajapoteza mechi hata mmoja kwao
 
Kila la heri Lipuli fc

[emoji375][emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…