Mtaombe Kheri wengi, maombi ya mtenda dhambi hayakubariki, mliisaliti Timu yenu Siku ile ya Siku, alafu leo muombee kheri timu zingine, Simba dereva wa gari lao, husimama vituo vikuu, tu kituo kinachofuata ni Shinyanga.Kila heri standi
[emoji375][emoji375]
👊👊 za usoMkuu nimeonyesha odds za draw hapo....2.66 haijawahi kugoma labds ianze leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Achukue mara ngap..? Wanakamilisha ratiba tu mikia wamenunua marefa,timu pinzani n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawatafuta watu maneno wewe!Sawa Mtani, kulikuwa na mechi ya Mtani Jembe miaka michache nyuma, hivi hatuwezi kuangalia utaratibu wa kurudisha mechi ile?