Simba VS Lipuli...Kiporo kigumu sana

Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti Mtani. [emoji28][emoji28][emoji28]

Mnakawia kulalama basi kwamba wachezaji wana uchovu. Muchezage hivyo hivyo kwa siku zilizopangwa ili mkose sababu hasa pale mtakapokaziwa na kukosa matokeo.
Hivi Mtani kwa kikosi hiki kipana kwa nini wasitupangie viporo vyetu kila baada ya siku mbili tukamalizana navyo?
 
Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti Mtani. [emoji28][emoji28][emoji28]

Mnakawia kulalama basi kwamba wachezaji wana uchovu. Muchezage hivyo hivyo kwa siku zilizopangwa ili mkose sababu hasa pale mtakapokaziwa na kukosa matokeo.

Sawa Mtani, kulikuwa na mechi ya Mtani Jembe miaka michache nyuma, hivi hatuwezi kuangalia utaratibu wa kurudisha mechi ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…