Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Simba 3 Lipuli 1 na mjumbe kaondoka radio π» yake Hahaha..Ngoja nijongee Mtani. π
Uuwiii. Sio mbaya kama matokeo ni hayo Mtani wacha aondoke nayo tu.Simba 3 Lipuli 1 na mjumbe kaondoka radio π» yake Hahaha..
Samahani, nilikuwa nimelala ngapi ngapi ?Nipo Mtani wa nguvu. Nini kinaendelea kwani huko?
Basi akituma usiache kunisitua!!Ngoja nikuitie Dada yangu aje kukupa matokeo maana kwangu hakuna umeme.
Da Shunie kuna mtu ataka matokeo huku.
Hahahaa. lol
Nani kala red card?3 goals n wana red card haya kila la heri waarabu weusi kila team mnashabikia...kila mtu ashinde mechi zakeView attachment 1032710
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamu ya stend United mkuu
Hawa si ndio waliitoa bikira ya Vyura FC aka Yanga bukubuku?Zamu ya stend United mkuu
Ndio Hawa mkuu.. Hii timu ya CAF itaua watu round hiiHawa si ndio waliitoa bikira ya Vyura FC aka Yanga bukubuku?
Hawa tunawaandalia vitatu tena!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila heri standi