Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
 
Nyota kadhaa wa kikosi cha kwanza cha simba watarejea kwenye kikosi ili kuongeza nguvu kuelekea mtanange huo muhimu
 
Makolo mnaanzisha nyuzi mara mbili mbili mmepata muhaho.
 
Sioni mtu wakunidhibiti, na ndio maana huu unyama naufanya mbele ya laiki.../
 
Back
Top Bottom