Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Mmekimbia uzi wenu kuleMakolo mnaanzisha nyuzi mara mbili mbili mmepata muhaho.
Ushindi mapema sanaSimba kama team kubwa hatuwezi kuwadharau hawa namungo fc,ila hawana maajabu yoyote ya kuisumbua simba,mhimu namungo waje na heshima vinginevyo watakula nyingi za kutosha.
UsijaliTupe updates mkuu
Hilo wasahauFuraha ya yanga kutategemea na simba kupoteza mechi
Wanasema the one who laugh later laughs better
Ushindi mapema sanaKila la kheri Simba Fc [emoji91]
One team, one dream