Simba vs Ndanda Toka huko Nang'wanda Sijaona

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
838
Reaction score
561
Mambo bado magumu kipindi cha pili dk.66

Naona wadau wapo kimyaaa na up todates.

Ila Ndanda wanacheza sana offside trick.
 
Mkuu tupe updates si unajua wengine mishe mishe
 
Dk. 75 milango bado migumu
 
Gooooooo dk 80. Kiiiza au Chiiiza kwa Waganda
 
Yaani NDANDA inawasumbua namna hiyo?????
 
Danny Lyanga kavunja Off Side Trick na kumrahisishia Chiiza.
 
Mhhh una matatizo ww..hilo pia tubishane??? Si ajabu ww unasikiliza redion..ok ni hivi
Ilikuwa rebound ya Kiiza ndo ajibu akafunga..kingine sema bas
 
Dk.90

Dalali leo kaingia Nang'wanda Sijaona amechoka na mdudu wa sare.

Dk. 2 za nyongeza
 
Nafasi ya 3 pnts 8 nyuma ya vinara 6 kwa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…