Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papaa Mwinyi Zahera anakidai klabu chetu zaidi ya M1Huu mtanange unachezwa saa ngapi.Tuwaache wadaiwa sugu wa Papa Mwinyi Zahera!
Hahahahahahahaha kweli unastahili kuitwa kichwa kichafu.Simba anakufa 1 or 2.
Simba anakufa 1 or 2.
Kwema mkuu.Hahahahahahahaha kweli unastahili kuitwa kichwa kichafu.
Ndio nimeshtuka[emoji23]Acha kuota basi
Mkuu ndoto za mchana zinakaukweliAcha kuota basi
Mkuu ndoto za mchana zinakaukweli
Ndio nimeshtuka[emoji23]
Amezimia mpaka saizi haijulikani kama ataamkaSasa kwani amekufa?
Makundi ya WhatsApp?Simba nguvu moja tusonga mbele hadi makundi na robo tutafika!!!
Namuona Aussems anafungasha mapemaaa!! Kwa mwendo huu ubingwa tutausikia.Leo kuna timu ilibakia kidogo tu iangukie pua kwenye uwanja wake wa nyumbani. Nilishudia goli mbili za wazi kabisa zikiokolewa na yule kijana wa Chicago, kule Mkamba B.
Hapo bado mechi ya marudiano kule Sokoine! Kazi ipo.
Ndio hayo hayo mkuu simba hii inatisha.Makundi ya WhatsApp?
Endelea kumwaza zaheraHuu mtanange unachezwa saa ngapi tuwaache wadaiwa sugu wa Papa Mwinyi Zahera?