Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi?
Au ni mimi ndio nisiye elewa? Ndondo cup si zimecheza timu za mitaani kama Faru Jeuri, Misosi fc, Keko ferniture na nyinginezo kwa udhamini mkubwa wa clouds media na wengine... bt ishu ya simba na hiyo Rayon ni kwenye sherehe za Simba day ndio simba wamewaomba Rayon wacheze na mechi ya kirafiki.
Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi?