Simba Vs Ruvu JKT

Hawa wachezaji tuwatandike viboko nini, mbona wanakosa mabao mengi sana.....
 
Poleni sana. Labda mwakani mfikirie kubadili uzi wenu 'mwekundu' kama wa arsenal yawezekana ndo unasababisha tabu.
 
Simba wanataka kuniharibia hii mini-weekend yangu.....:disapointed:
Pole ndio soka lakini hata hivyo muda bado haujaisha si unakumba mechi ya Man U na West Ham ilivyokuwa
 
Dakika na matokeo mapya tafadhali jamani pressure zinapanda wengine huku
 
Penati Okwi anaipatia Simba bao la kusawazisha
 
Dihile anatolewa nje nadhani ni kwa mzonga mwamuzi, dk35
 
Duh afadhali pressure inashuka taratiiiiibuuuuuu sasa, bora lawama kuliko fedheha duh
 
naomba nije kufanya kaz ofsn kwenu
As long as ukila bata hautaharibu kazi maana CEO anaweza akakuita ule naye bata Jumatano au Jumatatu lakini siku inayofuata uwe ofisini as usual.
 
mpaka sasa matokeo ni moja kwa moja, dilile katolewa nje kwa red card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…