Simba Vs Ruvu JKT

Ruvu wako 8 uwanjani na still wanawasumbua Simba...........lol
 
Hii makitu inanifanya niende kwa babu ghafla....i mean babu wa kaunta....i mean kikombe cha povu.....i mean glass......
Usijali mtafanya come back kama ile ya Man U kutoka 2-0 hadi 4-2
 
Bado bakika ngapi wadau jamani??????? Hivi kwani Samata hayumo uwanjani afunge la pili????????????
 
jamani matokeo vipi mpk mwisho

Matokeo ni kwamba pamoja na Simba kubebwa kwa kupewa penati na wachezaji wawili wa JKT Ruvu Shabani Dihile na George Minja kupewa kadi nyekundu na Ruvu kubaki 9 mechi imeisha kwa sare ya goli 1-1 hivyo Simba wameshindwa kutangaza ubingwa leo na kuwapa nafasi Yanga ya kuwania ubingwa huo pia
 
....unazi bana, sasa player akifanya kosa asipewe kadi ? Unanikumbusha mashabiki wa arsenal wao wamezoea kupewa matuta kila siku hata fabrigas akijirusha tuu (wanaongoza ktk EPL) sasa mambo yakiwa magumu na timu nyingine kupewa matuta wanalalamika mpaka liamba..!

Naona Simba isije kuwa kama Man, maana TFF imejaa yanga kama ilivyo FA kujaa watu wa arsenal.... mara ohh koch kafungiwa, mara Rooney, yaani kila sababu ya kuwatafutia ubingwa jamaa...
 
Kumbe wamebebwa wakashindwa kubebeka, kisanola na sebene la TP MAZEMBE bado linawaandama
 

 
Inamaana timu hii ndio ilikuwa inategemewa kuitoa TP MAZEMBE? kweli ukipenda pengo utaita mwanya.
 
Inamaana timu hii ndio ilikuwa inategemewa kuitoa TP MAZEMBE? kweli ukipenda pengo utaita mwanya.
hahahaaha,pengo ni kubwa kuliko mwanya ina maana wewe ukipewa kikubwa au kidogo utachagua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…