Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kuna dalili Ruvu Shooting wakawapapasa Mikia
Hii game sare,itakua Kama ile game ya last season.
It's draw, believe me.Lakini sio kila siku ni ijumaa mkuu
It's draw, believe me.
[emoji109][emoji109]Tusubiri dk 90 mkuu, kisha tukutane tena hapahapa
Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Sheikh yahya bado yupoKuna dalili Ruvu Shooting wakawapapasa Mikia
Ona timu aliyopanga utagundua kocha analake binafsi I prefer kocha wanazi na viongozi wanazi sio mamlukitukipigwa na leo tunaanza sven mpuuzi sana
ebu niwekee hapa nione kapangaje kikosi cha leoOna timu aliyopanga utagundua kocha analake binafsi I prefer kocha wanazi na viongozi wanazi sio mamluki
Simba 6 ruvu 0
Pira kacholiLeo linapigwa pira gani,biriyani, kababu au pira nungunungu?