Mashabiki wameshakuwa Marefa wanatoa maelekezo hatarAjibu anazurura tu
Simba wanabebwa na wao wamepata penaltyRuvu shooting wanacheza mpira wa ridhaa waslahi yao ni kiduchu kabisa zaidi ya kununuliwa chakula siku ya mechi eti ndo mpaka dakika ya 60 Simba haijasawazisha bao moja timu inayolipwa vizuri wachezaji wanalala pazuri nani atavumilia upuuzi huu Simba kufungwa mala mbili mfululizo na vibonde tena na mechi ya Nyumbani? Hakika something wrong somewhre.
Dakika ya ngap sahvKweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza wamekosa penalty
🤣🤣🤣Simba 6 ruvu 0
Dk ya 43 kipindi chapiliDakika ya ngap sahv
Matokeo vipi Shabiki mwenzangu wa Simba Sports Club! A.k.a Mabingwa Watetezi? Ni dk ya ngapi sasa!!!Ruvu shooting wanacheza mpira wa ridhaa waslahi yao ni kiduchu kabisa zaidi ya kununuliwa chakula siku ya mechi eti ndo mpaka dakika ya 60 Simba haijasawazisha bao moja timu inayolipwa vizuri wachezaji wanalala pazuri nani atavumilia upuuzi huu Simba kufungwa mala mbili mfululizo na vibonde tena na mechi ya Nyumbani? Hakika something wrong somewhre.
Mwali anakaribia kunenwa,Bocco Haram Kashiba uduvi badala ya BirianiMatokeo vipi Shabiki mwenzangu wa Simba Sports Club! A.k.a Mabingwa Watetezi? Ni dk ya ngapi sasa!!!
Mimi shabiki mwenzako niko mbali kidogo na luninga.
Pira biriani limekutana na pira gwaride.Wachezaji wa Simba wanachotufanyia Mungu anawaona jamani roho inaniumaaaaa basi tu
Mpiraaaa umeishaaaaaaaaPira biriani limekutana na pira gwaride.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya hoo Yanga wanabebwa wamepewa penati leo mmepewa nyinyi mmekosa sasa mnataka mbebwe vipi.
Sawa Julio tutakupa nafasi ya upendeleo wa kukinoa kikosi baada tu ya kumtimua huyu kocha kipenzi cha sisi mashabiki.Nadhani kocha ni haki kutimuliwa. Huwezi kuwaingiza Ndemla na Morison waisaidie timu ikiwa imefungwa huku ndani kuna Ajib. Zimbwe alikuwa mbovu toka mwanzo, alipaswa atolewe mapema. Hiki ni kikosi kibovu kuwahi kupangwa kwa miaka hii.
Hahah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji817][emoji16]Mpiraaaa umeishaaaaaaaa
Simba 0 papasa fc 1
Masau Bwire leo atachonga! Aliahidi kuwapapasa hawa viumbe, jana wakati anahojiwa na vyombo vya habari! Na hatimaye ahadi imetimia. Hongera nyingi kwa Ruvu Shooting kwa kutupapasia huyu mnyama.Mpiraaaa umeishaaaaaaaa
Simba 0 papasa fc 1