Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Halafu eti walikua wanajimwambafai kuwakera Wananchi iwapo wangecheza nao ile tarehe 18! Simba gonjwa gonjwa hii itamfunga nani kwa sasa!!

Wawashukuru wanachama wao waliopo TFF kwa kuwanusuru na dhahama baada ya kuahirisha mechi kwa visingizio visivyo eleweka!!
 
Muhammed Hussein angetoka na nafasi yake apewe gadiel maiko mbaga teyari pira lilimshinda dogo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa. Ajib pia. Bwalya sjui ndio namba gani aliyecheza ile. Sijawahi kumkubali Ndemla hata siku moja, Hana kiwango cha kucheza Simba labda Ndanda. Timu nzima mchezaji alimuwa Konde Boy tu
 
Mpira wa Tanzania ndio huu !!
Simba kufungwa mechi mbili kuna jambo wamelipanga na limepangika.
Haiwezekani kwa kiwango kile ! wiki za mwanzo halafu kucheza hovyo kiasi hichi na kwa kiwango hichi wanastahili sana kufungwa.
Sasa utasikia sijui kocha sijui mwekezaji
Sasa wanaanza upya...
Very average team halafu waende kimataifa ... zitaanza tano tena.
 
Sahihi kabisa. Ajib pia. Bwalya sjui ndio namba gani aliyecheza ile. Sijawahi kumkubalia Mdemla hata kidogo. Timu nzima mchezaji alimuwa Konde Boy tu
Ndemla ni either baba kantuma au anatumia kizizi pale msimbazi maana hakuna anachofanya Simba yani ni Useless .anasifika kwa mashuti makali lakini hayana macho hajawahi kujifunza kutokana na makosa anayofanya kila siku

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ni wakati sasa wa kuhoji zilipo zile bilioni zetu 20 alizo ahidi mdhamini wetu Mwamedi.
 
Nadhani kocha ni haki kutimuliwa. Huwezi kuwaingiza Ndemla na Morison waisaidie timu ikiwa imefungwa huku ndani kuna Ajib. Zimbwe alikuwa mbovu toka mwanzo, alipaswa atolewe mapema. Hiki ni kikosi kibovu kuwahi kupangwa kwa miaka hii.
Wengi hawauoni ubovu wa zimbwe ila tukienda ligi ya mabingwa ndio tutaona. Anapenda kukaa na mpira muda mrefu, analazimisha kupiga chenga wakati hajui, anapenda kushambulia lakini harudi haraka anatoa pasi boko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…