Ndo washadundwa ivoo!!Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Kuna dalili Ruvu Shooting wakawapapasa Mikia
Ona timu aliyopanga utagundua kocha analake binafsi I prefer kocha wanazi na viongozi wanazi sio mamluki
Poleni sana Mikia.Wachezaji wa Simba wanachotufanyia Mungu anawaona jamani roho inaniumaaaaa basi tu
Poleni sana Mikia.Wachezaji wa Simba wanachotufanyia Mungu anawaona jamani roho inaniumaaaaa basi tu
Hivi ratiba ya Simba kabla hajacheza na Yanga ikoje!?Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Pira biriani limekutana na pira gwaride.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya hoo Yanga wanabebwa wamepewa penati leo mmepewa nyinyi mmekosa sasa mnataka mbebwe vipi.
Poleni sana Mikia.
Ndo bongo hii.. Soka tunaiga..tunachoweza umbea tuhh
AiseeNa wqo Simba watazuga wana pressure ya uchaguzi
Naona leo mmeamua kugunguka mmeacha kudanganywa na manara sasaWengi hawauoni ubovu wa zimbwe ila tukienda ligi ya mabingwa ndio tutaona. Anapenda kukaa na mpira muda mrefu, analazimisha kupiga chenga wakati hajui, anapenda kushambulia lakini harudi haraka anatoa pasi boko
Mpira ni mchezo wa wazi hakuna kinachojifichaNaona leo mmeamua kugunguka mmeacha kudanganywa na manara sasa
Afadhali mmelielewa hiloMpira ni mchezo wa wazi hakuna kinachojificha