Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Aliongea Dr Kigwangala,akaoga matusi kama yote... Mo anaendesha ssc kama familia yake...mkafukuza mtendaji mkuu....akaajiri h/g wake
 
Kuna nn mkuu,kumetokea nn kwan?
 
Sahihi kabisa. Ajib pia. Bwalya sjui ndio namba gani aliyecheza ile. Sijawahi kumkubali Ndemla hata siku moja, Hana kiwango cha kucheza Simba labda Ndanda. Timu nzima mchezaji alimuwa Konde Boy tu
Kama ilivyo mm sijawahi kuelewa sababu za kuitwa stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…