Simba vs Saoura. probable lineup

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
-Kila la kheri Simba SC wapigeni pigo la moyo JS Saoura leo na ushindi wa mechi ya leo utawapa nguvu ya kupambana mechi zinazofuata Mungu ibariki Simba, Mungu Ibariki Tanzania.

1-Manula
2-Gyan
3-Hussein
4-Wawa
5-Juuko
6-Kotei
7-Chama
8-Mkude
9-Bocco
10-Kagere
11-Okwi

YES WE CAN

>Tukutane kwa Mchina nyomi kama yote vile..
 
Naona Niyonzima ameingia rasmi kikosi cha kwanza...Jamaa kaimprove sana kwenye Mapinduzi, akitokea benchi anakuwa moto zaidi
 
Yanga damu damu, toka nazaliwa.....mimi nina pacha wangu tulikua tunapigana sana nyumbani tunaenda shule tumenuniana, ila mmoja akichokozwa tulikua tunasahau tofauti zetu na kugawa kipondo cha maana, hii falsafa ndio inanifanya leo nivae tshirt ya bendera ya Taifa na kuishangilia timu inayowakilisha Taifa.
Huwezi kuwa yanga wewe ni mamluki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si Yanga bali ni mamluki,Yanga hatuna shabiki Mbumbumbu kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIMBA PEKE YETU TUNATOSHA HATUNA SHIDA YA KUSHANGILIWA NA WANAFIQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…