Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Sefit waliweka mpira kimiani ila refaa kakataa , kaseja alifanyia foul kabla ya mfungaji wa mwisho
 
mkuu unaangalia kupitia channel ipi? Dakika ya ngap sasa hv?
 
Mchezeji wa simba anaonyeshwa kadi nyekundu -juma nyoso
 
dk ya 27 bado bila bila, simba wanlinda zaidi goli
 
Simba vibonde au ngangari? Mbona walisema itafungwa dakika 5 na sasa karibu nusu inaisha!
 
Back
Top Bottom