Wewe shabiki wa Simba halafu hujui Nani alikuwa Msemaji wa Simba? Nani kakudanganya Simba haikuwa na Msemaji mwaka1993?Namaanisha kuwa simba ni Timu kubwa kubwa tena kubwa Sana
Kama mafanikio yalianza kuwa zamanii
Mashabiki wa simba wanahitaji Timu nzuri wachezaji wazuri na vikombe vingi
Simba ilishafanikiwa miaka mingi nyuma kabla ya kuanzishwa KWA kitengo cha MSEMAJI wa Timu
Kilichoongelewa leo kwenye press ni kama kutia tone la sumu kwenye ndoo ya maziwa tu
Simba nguvu moja