Duh safari hii waganga wa Yanga wameshindwa kuzuia mvua basi tumekwisha nakumbuka ile game ya kwanza lilitanda wingu la mvua lakini jamaa wakafight kuzuia mvua haikunyeshaleo ataumbuka na utabiri wake.... mvua imeshanyesha Dar asubuhi asubuhi, dalili kubwa kwamba lunyasi ni kicheko leo