Simba vs Yanga April 19, 2009

Ha ha ha Sheikh Yahya ni bora atafute fani nyingine ya kujiingizia kipato kama kandambili watafungwa leo. Maana utabiri wake sasa inaelekea umekuwa ni WIZI MTUPU!

MN dakika ya 30 ya kipindi cha kwanza au cha pili?
 
Mbona kimya Mpira Umekwisha?
Hapana,

Mpira unaendelea na dakika zilizosalia ni kidogo nisingependa kutaja maana mashabiki wa Yanga wanaeweza kupasua laptops zao πŸ™‚
 
Hapana,

Mpira unaendelea na dakika zilizosalia ni kidogo nisingependa kutaja maana mashabiki wa Yanga wanaeweza kupasua laptops zao πŸ™‚

Vijembe hivyo Mazee! Hukwenda kwenye birthday kutuwakilisha kama CEO wa JF kwi kwi kwi!
 
Hapana,

Mpira unaendelea na dakika zilizosalia ni kidogo nisingependa kutaja maana mashabiki wa Yanga wanaeweza kupasua laptops zao πŸ™‚

Mhhh Leo Watu Wataongea saaaana
 
Vijembe hivyo Mazee! Hukwenda kwenye birthday kutuwakilisha kama CEO wa JF kwi kwi kwi!
Hahahaha,

Kuna wawakilishi wetu kule wawili wanaofahamika kwa majina yao mkuu. Simba na Chelsea zikiwa zinacheza huwa sina ratiba mbadala!
 
Dah,

Man of the Match ni Haruna Moshi na atapewa zawadi ya Tshs 300,000/=
 
Kushiriki CAF si jambo dogo mpwa, wacha tuongee mkuu wangu.

Full kujiachia πŸ™‚
Tehe Tehe CAF tu Utashiriki Wala hakuna Shida ha ha ha ha...Ila safari hii sijui watakuja nani Labda pamela maana Stella hatuwawezi LOL!
 
Mhhh Leo Watu Wataongea saaaana

Ha ha ha ha bora tunyamaze maana wenyewe mlishatoa kauli kwamba ubingwa haunogi bila kumchapa Mnyama Mkali na mkaahidi kulipiza kisasi cha mwaka 77, sasa kulikoni tena goli 7 zenu kwa bila mganga kazimeza? ha ha ha ha
 
Tehe Tehe CAF tu Utashiriki Wala hakuna Shida ha ha ha ha...Ila safari hii sijui watakuja nani Labda pamela maana Stella hatuwawezi LOL!
Hehehehe

Yeah,

Dakika 45 za kipindi cha pili tayari... Sasa ni wakati wa nyongeza tu, dakika kama 3 au 4
 
Dakika ya 92 inakwenda hiyo... Dah

YANGA WAMESAWAZISHA!
 
Kuna mchezajiw a yanga ameonyeshwa kadi ya pili ya njano na ametolewa nje (sijamuona vema ni nani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…