Hahahaaaa. Nakuona umeamka na ari mpya Mzee wa Tecno.Leo ndio ule mtanange pendwa wa watani wa Jadi SIMBA SC VS YANGA SC.
Fans wote wa hizo timu mje tubeti hapa iwe kwa pesa taslim au vocha .
Mi betting yangu.
Ajitokeze mshabiki yeyote wa Simba tuje tuweke dau siyo parefu sana ni Buku 5 tu.
ikiwa simba itashinda anifate PM nitamtumia Buku tano na kuweka ushahidi hapa wa muhamala wa pesa na YANGA ikishinda nitamfata PM anitumie buku yangu Ushahidi utakujia hapa hapa.
Michezo ni kwa Afya na Undugu Lets pray the game as a die hard fans.
kukaa atakaa yanga zaidi yahapo drooMnyama lazima akae leo
Hahahaaa. Ngoja niwaite.Natafuta mtu wa kubet nae leo dadeki
πππ tusubiri tuone Zero.Mnyama lazima akae leo