Wenzenu wame bet wake zao View attachment 881934
Wamewachoka wake zao si bure. πππHawa jamaa ni noumaView attachment 881935
Nina wasiwasi sana na wewe Hajar usije ukapata ugonjwa wa pressure(Allah Atakunususru) na weye bado mbichiiiiHahahaaa. Ngoja niwaite.
Sesten Zakazaka Ghazwat , sembo , Sapta Sapta , aretasludovick , kuku mweus , OKW BOBAN SUNZU njooni huku Watani zangu.
Wakija waje na pesa ya kubetia siyo kulia lia tu.Hahahaaa. Ngoja niwaite.
Sesten Zakazaka Ghazwat , sembo , Sapta Sapta , aretasludovick , kuku mweus , OKW BOBAN SUNZU njooni huku Watani zangu.
Dadeki mke wangu hawezi ata kuguswa na jirani sembuse kumbetia.Wenzenu wame bet wake zao View attachment 881934
Kuna watu wamepinda hadi raha aiseeWamewachoka wake zao si bure. πππ
Hahahaaa hayo yalikua yanatokea zamani mkuu enzi za kina SembuliHiyo ndio game ya watani wa jadi mkuu usishangae mtu akabeti nyumba
UmepataSimba 2 - Yanga 1
Lete kidole chako cha mwisho tuunganishe na changu halafu mtu aje kukataHii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
πππππ