Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Ahsante kwa kujazia.Matokeo Yanga 3_Simba 0
Ulimi hu Hajar ulimi huoo,Wapo watani zangu. πππ
Shunie, Sesten Zakazaka, Sapta Sapta , kuku mweus , Ghazwat , sembo , Mshuza2 , aminas na wengine wengi njooni muone tunachowafanyia.
ππππππ
Ni vizuri kujifariji HajarNdio hivyo Sesten.
ππππ
Nialike TafadhaliSimba ikifungwa leo nalala bar makusudically
Nipo jaman dada angu, i miss u too,,Kaka kaka kaka Mmekumiss jamaani.
Upo dunia hii kweli?
Mkuu usilale barSimba ikifungwa leo nalala bar makusudically
Mkuu umepotea? Nani huyo amekuficha?π³π³π³ππ