Walipaki yutongYanga kama wanacheza kwa uoga ivi,kama itakua hivi tuombee tuu bilabila
Kakolanya kafanya makubwa kiukweliWalipaki yutong
AiseeeKakolanya kafanya makubwa kiukweli
Naona unaenda kula sapuVipi mkuu
Asante sanaaa mkuuKaribu mkuu supu ya pweza
Yaaan kwa huu mpira wa leo, naona simba tunapiga pasi matata sanaaKaribu mtani mi na wewe ni ndugu kabisa
Yaan daahPasi zisizo na magoli ongereni sana
Wametoka droo cwez kulala nalala ndaniMkuu usilale bar
Hahahah labda umebadili kabilaHahahaaaa. Lol.
Nakuona unataka kulazimishia. Haya nimekubali kabisaaaaa, mie Mzaramo mkuu tena wa Mwanalumango. Teh teh teh.
Hahahaa kamanda wangu mimi naona wewe ndio umepotea siku hiziMkuu umepotea? Nani huyo amekuficha?